![]() |
Friday, October 26, 2012
AKON AMEWASILI KENYA TAYARI KWA SHOW.

Kwa
mujibu wa chanzo cha habari hii ni Msanii kutoka Marekani `Akon' aka
Aliaune Damala Badara amewasili Kenya salama na yuko tayari kwa tamasha
alilokuja kufanya. Akon amewasili jana mida ya saa moja usiku na ndege
ya Emirates kutoka Dubai. Fahamu kuwa Akon alitakiwa aje Kenya miaka 2
iliyopita ila kila show waliotangaza,alishindwa kufika.
HII NDIO NYUMBA ANAYOMILIKI MKENYA STELA MWANGI (STL).

Mtandao maarufu wa Ghafla Kenya umeripoti kwamba kama ile show ya MTV
Cribs ingekua inafanyika
MAJINA YA WALIOHUSIKA KUMUUA KAMANDA BARLOW MWANZA YAMETAJWA, NDIO HAYA.

Mwandishi wa habari Albert G
Sengo kutoka Mwanza ameripoti kwamba majina ya watu watano
wanaotuhumiwa kuhusika moja kwa moja na kifo cha aliyekuwa Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Mwanza Leberatus Barlow yametajwa na Polisi.
Thursday, October 25, 2012
SIKILIZA HAPA 255 XXL YA LEO OCT 25.

Miss Info.
Chukua time yako kumsikiliza Doreen akiwa na mkusanyiko wa stori zote muhimu za town kupitia 255 ya XXL.
KAMA HUKUMSIKILIZA MBWIGA OCT 25 ON SPORTS EXTRA, YUKO HAPA.

Dakika za Mbwiga ndani ya Sports Extra ya Clouds Fm ni dakika
ambazo kwa wanaomfaham Mbwiga huwa sio za kuziacha zikupite, baada ya
kupata michapo yote ya kisport Mbwiga huwa ndio anamaliza show
HIZI NDIO PICHA ZA AJALI ALIYOIPATA P DIDDY.

Rapper Diddy amepata majeraha baada ya gari lake kupata ajali Beverly Hills hotel Los Angeles Marekani.
Tuesday, October 23, 2012
Sunday, October 21, 2012
Saturday, October 20, 2012
HAPPY BIRTHDAY SNOOP DOG.

Snoop Dog ni moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri katika game
la muziki nchini marekani sasa basi ningependa kukufahamisha kwamba kama
wewe unazaliwa siku kama hii ya leo basi unasherekea siku yako ya
kuzaliwa na mtu mzima Snoop Dog kwani msanii huyu anatimiza miaka 41 toka azaliwe tarehe 20 mwezi wa 10 mwaka 1971.
BREKING NEWS:VURUGU ZAIBUKA KARIAKOO.....!!!

MAENEO YA JIJI LA DAR POSTA&KARIAKOO KWASASA VURUGU ZIMEIBUKA
WAISLAM WAKITOKEA MISIKITI MBALI MBALI WAKIWA WANAJARIBU KUANDAMANA
WAKISHINIKIZA SERIKALI IWAACHIE HURU WAISLAM WALIOKAMATWA IKIWAMO KATIBU
WA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM NCHINI,SHEIKH ISSA PONDA
Subscribe to:
Posts (Atom)












