Thursday, October 25, 2012

KAMA HUKUMSIKILIZA MBWIGA OCT 25 ON SPORTS EXTRA, YUKO HAPA.

 
Dakika za Mbwiga ndani ya Sports Extra ya Clouds Fm ni dakika ambazo kwa wanaomfaham Mbwiga huwa sio za kuziacha zikupite, baada ya kupata michapo yote ya kisport Mbwiga huwa ndio anamaliza show
kwa kukupa michapo lakini kwa ubinifu wake, Mzaramo huyu atatumia uwanja mpana wa uswahili wake pamoja na ucheshi kuhakikisha unaenjoy na unapata kitu pia…. msikilize hapo chini.

No comments: