MAENEO YA JIJI LA DAR POSTA&KARIAKOO KWASASA VURUGU ZIMEIBUKA
WAISLAM WAKITOKEA MISIKITI MBALI MBALI WAKIWA WANAJARIBU KUANDAMANA
WAKISHINIKIZA SERIKALI IWAACHIE HURU WAISLAM WALIOKAMATWA IKIWAMO KATIBU
WA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM NCHINI,SHEIKH ISSA PONDA
WANAOSHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA MAKOSA MBALI MBALI YAKIWEPO YA
UCHOCHEZI WA DINI
ASKARI WA JESHI LA POLISI WAMETANDA KILA KONA YA JIJI LA DAR ILI KUZUIA
KUFANYIKA KWA MAANDAMANO HAYO,YENYE KUDAI KUACHIWA HURU BAADHI YA
WAISLAM HAO,
ENDELEA KUTEMBELEA BLOG KUJUAATA HALI INAYO ENDELEA DAR!
No comments:
Post a Comment