Kwa
mujibu wa chanzo cha habari hii ni Msanii kutoka Marekani `Akon' aka
Aliaune Damala Badara amewasili Kenya salama na yuko tayari kwa tamasha
alilokuja kufanya. Akon amewasili jana mida ya saa moja usiku na ndege
ya Emirates kutoka Dubai. Fahamu kuwa Akon alitakiwa aje Kenya miaka 2
iliyopita ila kila show waliotangaza,alishindwa kufika.
No comments:
Post a Comment