Mtandao maarufu wa Ghafla Kenya umeripoti kwamba kama ile show ya MTV
Cribs ingekua inafanyika
Kenya basi STL angekua miongoni mwa mastaa
wanaomiliki nyumba nzuri sana, hii ni nyumba anayoimiliki staa huyu wa
hits kibao kama habahaba, lookie lookie na nyingine.
No comments:
Post a Comment