Friday, October 26, 2012

PARTY YA MOVIE YA JAMES BOND BONGO OCT 25 USIKU.

AKON AMEWASILI KENYA TAYARI KWA SHOW.

Kwa mujibu wa chanzo cha habari hii ni Msanii kutoka Marekani `Akon' aka Aliaune Damala Badara amewasili Kenya salama na yuko tayari kwa tamasha alilokuja kufanya. Akon amewasili jana mida ya saa moja usiku na ndege ya Emirates kutoka Dubai. Fahamu kuwa Akon alitakiwa aje Kenya miaka 2 iliyopita ila kila show waliotangaza,alishindwa kufika.

HII NDIO NYUMBA ANAYOMILIKI MKENYA STELA MWANGI (STL).

 Mtandao maarufu wa Ghafla Kenya umeripoti kwamba kama ile show ya MTV Cribs ingekua inafanyika

MAJINA YA WALIOHUSIKA KUMUUA KAMANDA BARLOW MWANZA YAMETAJWA, NDIO HAYA.


Mwandishi wa habari Albert G Sengo kutoka Mwanza ameripoti kwamba majina ya watu watano  wanaotuhumiwa kuhusika moja kwa moja na kifo cha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Leberatus Barlow yametajwa na Polisi.

Saturday, October 20, 2012

HAPPY BIRTHDAY SNOOP DOG.

Snoop Dog ni moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri katika game la muziki nchini marekani sasa basi ningependa kukufahamisha kwamba kama wewe unazaliwa siku kama hii ya leo basi unasherekea siku yako ya kuzaliwa na mtu mzima Snoop Dog kwani msanii huyu anatimiza miaka 41 toka azaliwe tarehe 20 mwezi wa 10 mwaka 1971. 

BREKING NEWS:VURUGU ZAIBUKA KARIAKOO.....!!!

MAENEO YA JIJI LA DAR POSTA&KARIAKOO KWASASA VURUGU ZIMEIBUKA WAISLAM WAKITOKEA MISIKITI MBALI MBALI WAKIWA WANAJARIBU KUANDAMANA WAKISHINIKIZA SERIKALI IWAACHIE HURU WAISLAM WALIOKAMATWA IKIWAMO KATIBU WA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM NCHINI,SHEIKH ISSA PONDA