Peter na Paul aka P
Square wametumia pesa za Nigeria Naira million 50 kwenye mazishi ya mama
yao mzazi Mrs Josephine Okoye. Familia hio imetumia huduma ya kampuni
kubwa ya mazishi ya M.I.C kuanda na kushughulikia mazishi ya mama yao.
Gharama zote hizo ni pamoja na usafiri wa mwili wa marehemu toka India ,
Jeneza , mazishi na malipo yote ya tukio hilo.
No comments:
Post a Comment