
Hii Ndio Sura Ya Aaliyah Kwenye Mgongo Wa Drake.
Rapper Drake wa young money amezidi kuongeza mjumuiko wa tatoo kwenye
mwili wake kwa kuandika namba za eneo analo ishi nchini Canada,Toronto
416 na tarehe ya kuzaliwa ya marehemu Aaliyah 116 ambayo ni January 16 .
Tayari Drake alikuwa na tatoo ya sura ya Aaliyah na tatoo ya mambo
mengine yanayoleta maana na muhimu kwenye maisha yake .
Kitendo hichi kimeenda kinyume kabisa na ushauri aliopewa na Lil Wayne
kuhusu kuwa na tatoo nyingi kwenye mwili wake . Lil Wayne kama Boss wake
na rapper wa young money alimwambia Drake yeye ni msanii msafi anaye
pendwa na watu ,hana beef na mtu na anamashabiki wakila aina .Hana haja
ya kuwa na tatoo nyingi kama yeye.

Tatoo ya Tarehe Ya Kuzaliwa Ya Aaliyah.
No comments:
Post a Comment