Annie Na 2 Face.
Msanii
toka Nigeria 2 Face Idibia anategemea mtoto wake wa 7 na mke wake Annie
Macaulay .Habari hizi zimevuja kupiitia Nigeriafilms.com nakusema star
huyo wa filamu Nigeria ameonekana kunenepa sana na shape yake kubadilika
ghafla tu. Annie ndio star kwenye movie ya Ifiki ,Akwa -Ibom ambaya kwa
sasa amepunguza kazi zake za filamu na pia haonekani akisema lolote
kwenye mitandao ya kijami kama Facebook na Twitter. Yote haya amefanya
ilikuweka siri ya ujauzito wake na star 2 Face.
Ningependa
ujue kuwa mwezi May ,1 , 2012 Annie na 2 Face walifunga ndoa ya siri
mjini Lagos na wageni waalikwa walikuwa ni ndugu na jamaa zao tu .
Harusi ilifanyika baada ya 2 Face kumaliza show yake ya kutambulisha
albumEko Hotel mjini lagos April 30,2012 .Uchumba wa Annie na 2 Face
ulianza kitambo na alimvalisha pete ya uchumba February 14,2012 na
tayari wana mtoto wa kwanza anaitwa Isabella.
No comments:
Post a Comment