Prezzo,
Kinacho
fata kwenye maisha ya prezzo baada ya BBA kwa mujibu wa interview
yakwanza aliofanya amesema ataweka jitiada zake zote katika kusimamia
MMG "Makini Music Group" mpaka ifikie lengo lake ambalo nikusaidia
wasani chipukizi nchini kenya .
Pia
kuhusu kampeni ya ONE amesema mpaka sasa watu wa ONE kampeni hawaja
mpigia simu kuhusu lolote ila walipenda na kuchagua kauli mbiu yake ya
kampeni hiyo aliowapa akiwa ndani ya nyumba ili kuhamasisha vijana
kujiingiza kwenye kilimo kupitia ONE ambayo ni { Farmer Swagger }
kutoka kwa Prezzo .
Pia
Prezzo ametoa shukrani kwa wanasiasa wote waliojiunga na TeamPrezzo
nakutoa mchango wao kwake kwa muda wote wa miezi mitatu .Habari tofauti
zilizo tokea kenya zilizo mshtua sana Prezzo ni pamoja na kifo cha
aliyekuwa waziri wa ulinzi George Saitoti na msaidizi wake Orwa Ojode .
Kwa sasa Prezzo ni Balozi wa One Campaign na ataenda kwenye tamasha la Jay z nchini Marekani .
No comments:
Post a Comment