Bondia wa Tanzania, Selemani
Kidunda (kulia) akiwa hoi baada ya kudundwa kirahisi kwa pointi 20-7
dhidi ya bondia wa Moldova, Vasilii Belous katika pambano la uzito wa
welter (69kg) mzunguko wa 32 kwenye Ukumbi wa ExCeL katika michuano ya
Olimpiki ya London 2012 leo Julai 29, 2012.
No comments:
Post a Comment