Monday, July 30, 2012

ETI HAWA HAWAZIDI UMRI WA MIAKA 20.

x
 Timu ya taifa ya vijana ya Nigeria chini ya umri wa miaka 20, Flying Eagles jana imeifunga timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes mabao 2-1 katika mechi ya kwanza ya Raundi ya Pili, kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika. Hawa ni baadhi ya wachezaji wa Flying Eagles katika benchi lao, kweli ni U20 hawa jamani? Hawa si Super Eagles kabisa, tena wale wanaokaribia kutungika daluga!

No comments: