Ibrahimu Class vs Yohana Robart.
Bondia
Ibrahimu Class kushoto akipambana na Yohana Robart wakati wa mazoezi
yake ya kujiandaa na mpambnano wake na Simba Watundulu utakaofanyika
siku ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee
Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala Habibu Kinyogoli
katikati akiwaelekeza mabondia Yohana Robert KUSHOTO NA Ibrahimu Class
jinsi ya kutupa masumbwi kwa mpizani kwa kunyoosha mkono Class
anajiandaa na mpambano wake na Simba Watundulu siku ya Idi pili katika
ukumbi wa Diamond Jublee jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment