Hali ndivyo ilivyokuwa...
Basi
la Dar Express lililokuwa linatoka Arusha na basi la Simba Mtoto
lililokuwa linaenda Tanga yamegongana uso kwa uso maeneo ya Wami.
Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika hospitali ya Chalinze.
Abiria wakiwashusha wenzao.
No comments:
Post a Comment