Monday, July 23, 2012

BALL BOY 'AKIPIGA MZIGO' TAIFA.

 Kijana muokota mipira katika mechi ya leo ya Kombe la Kagame, kati ya Yanga na Mafunzi, akiwa ameuchapa usingizi, nadhani kutokana na kuzidiwa na sauwm, nyuma ya lango la Mafonzo cha kwanza.

No comments: