Sunday, June 24, 2012

WASHIRIKI WA EBSS WAKIENDELEA KUSHUGHULIKA ZANZIBAR.


Awaichi Mawalla wa Zantel akiimba kwa ajili ya majaji.
Washiriki wakisikiliza kwa makini maelezo wanayopewa.

Washiriki wakisubiria zamu yao ya kuonana na majaji.
Madam Rita akisimama akimpongeza Slama Yusuph kwa kuimba vizuri.


Washiriki wakipanga mistari ya kuingia.

No comments: