Bondia Francis Miyeyusho (kushoto)
akimshambulia bondia kutoka Malawi, John Masamba (kulia) wakati wa
mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es
Salaam juzi. Miyeyusho alishinda kwa KO raundi ya 5.
Bondia John Masamba (kushoto) kutoka
Malawi akionyeshana ufundi wa kutupa masumbwi na Francis Miyeyusho
wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es Salaam juzi.
No comments:
Post a Comment