Kim ,Kris , Kanye.
Inasemekena x Husband wa mwanamitindo Kim kardashian , Kris Humphries
amesema alipatawasi wasi kuwa Kim anamahusiano na Rapper Kanye west pale
Kim alipo mwambia kuwa Kanye West ni rafiki wa karibu wa familia yao
wakati kwenye harusi yake Kanye West hakualikwa kabisa.
Kris pia amefunguka kuwa aliumizwa sana pale story za Kim na Kanye West kuwa na mahusiano zilipo julikana wakati mfupi tu baada ya kuachana nae . Kris amesema amejiskia kama ametumika na kuvunjiwa heshima na familia ya Kim.
Story yote hii aliimwaga wakati akiwa na X girl friend
wake aliyekuwa nae kabla ya kuwa na Kim Kardashian na kilicho mvunja
zaidi Kris ni kwamba alikuwa na x wake huyo anae julikana kama Myla
Sinanaj wakati wimbo wa Kanye West unao Mdiss Kris na kumsifia Kim
Ulipotoka na kuskika kwa mara ya kwanza.

No comments:
Post a Comment