Sunday, June 24, 2012

UZINDUZI WA MOVIE YA WEMA SEPETU WATISHA, OMOTOLA AWASILI NCHINI ALFAJIRI.

Wema Sepetu "Superstar".
                         
Chalz Baba na Steve Nyerere walikuwepo kutoa sapoti kwa msanii mwenzao.

Vijana kutoka mjengoni Clouds nao walihudhuria.
Barnaba akiwa na Dida, Shilole na Mainda.




Wanamuziki AY na MwanaFA walikuwa ni baadhi ya wasanii wachache wa Bongo Fleva waliobahatika kuwepo kwenye usiku wa Wema Sepetu.

Miriam Odemba akifanyiwa interview na Shadee.

Shaa akifanyiwa mahojiano na Shadee wa Clouds TV.

Mwanamuziki Shaa nae alikuwepo.

Ray Kigosi na Richie walikuja kumsapoti Wema.
Wema Sepetu akiwa na Mange Kimambe na Miriamu Odemba wakimsubiri Omotola Jalade kutoka Nigeria uwanja ndege Mwalimu JK Nyerere.
Mgeni akawasili - Mwigizaji wa Nigeria Omotola Jalade akiwasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere alfajiri hii.

Wema Sepetu na Omotola wakiondoka Uwanja wa Ndege baada ya Omotola kuwasili kutoka Nigeria.

Omotola akiwa na Miriam Odemba.



No comments: