Hatimae wekundu wa msimbazi Simba jana wamefanikiwa kumsajili beki MASOMBO LINO kutoka klabu ya Dc Motema
Pembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Masombo Lino amabaye anacheza nafasi ya
beki wa kati amekamilisha uhamisho mara tu baada ya kutua nchini jana
asubuhi, awali Simba ilitaka kumsajili beki wa zamani wa
Étoile Sportive du Sahel ya
nchini Tunisia Gladys Bokese amabaye kwasasa anaichezea Dc Motema Pembe
lakini imesitisha mpango huo na kuamua kumpa kibarua MASOMBO.
No comments:
Post a Comment