Hii imetokea jana jumamosi asubuhi majira ya saa tatu asubuhi baada ya gari ya kampuni ya Kanji Ladji inayobeba bia iliokuwa inatokea Mbeya kwenda Sumbawanga ikiwa imesheheni vinywaji kupata ajali na kuanguka majira ya saa tatu asubuhi.
Kuvuja
kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi..... baada ya ajaali hiyo kutokea kijiji
cha Mshani zipatazo km 19 kutoka Laela-Sumbawanga ilikuwa kama sherehe
kwa wengine kwani wanakijiji walivamia gari na wakaruhusiwa kunywa
watakavyo ila hakuna kuondoka na chupa..... asubuhi watu walikuwa
wamelewa chakari...Maisha bora kwa kila Mtanzania...


No comments:
Post a Comment