Wednesday, June 20, 2012

ROONEY AIPELEKA ENGLAND KWENYE ROBO FAINALI EURO 2012



Wayne Rooney na John Terry.

Mchezaji Wyne Rooney ameifungia England goli pekee kwenye mechi ya Ukraine na kufanya wachukue nafasi ya kuongoza Kundi D na kuingia kwenye robo fainali 2012 watakapokutana na Italia.
Kwenye sentensi nyingine Sweden imeshinda 2 -0 kwenye mechi na France.

Goli hilo pekee la Rooney limepatikana kwenye dakika ya 48.


No comments: