Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea
Didier Drogba juma hili anatarajia kuidhinishwa kujiunga na
klabu ya Shanghai Shenhua ya nchini China.
klabu ya Shanghai Shenhua ya nchini China.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa
miaka 34 raia wa Ivory Coast inasemekana amekubali kusaini mkataba wa
miaka miwili na nusu wenye thamani ya paundi milioni 25.

No comments:
Post a Comment