
Wananchi wa eneo la Tegeta Kibaoni, jijini Dar es Salaam wakisaidiana na polisi kuupakiza mwili kwenye gari kati ya watu waliokufa katika ajali iliyotokea baada ya Roli la mchanga kupata hitilafu ya breki na
kuacha barabara na kugonga daladala kabla ya kuvamia baa na kusababisha vifo vya watu wawili papo hapo na wengine nane kujeruhiwa leo.
Baa iliyovamiwa na Roli hilo la mchanga
No comments:
Post a Comment