
Picha ya kwanza juu inamuonyesha Ryan
Giggs akiwa anaongea na Danny Welbeck kwenye mazoezi ya Academy ya
Manchester miaka 10 iliyopita, na hii ya chini inawaonyesha wawili hawa
wakiwa wanashangilia kwa pamoja goli kwenye kikosi cha Manchester United
msimu uliopita.
No comments:
Post a Comment