Monday, June 18, 2012

PICHA 11 ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA PAMOJA WE CAN YA DJ CHOKA.




Video ilifanyika Maisha Club jumamosi june 16, Adam wa Visual Lab ndio
amehusika kuishoot, Pamoja we can ni single ya Dj Choka aliyowapa shavu
 wakali kadhaa kama Mabeste na wengine.


















(Picha zote zimepigwa na djchoka.blogspot.com)

No comments: