Monday, June 18, 2012

PICHA TATU ZA NJE NA NDANI YA NDEGE BEYONCE ANAYODAIWA KUMNUNULIA JAY Z.


According toa MediaTakeout.com hii ndio ndege Mwimbaji Beyonce aliyomnunulia
mume wake (Jay Z) kama zawadi ya siku ya kina baba duniani June 17.



Hili ni jiko lililo ndani ya hiyo ndege yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 40.


Ndani ya hiyo Private Jet ya Jay Z.



No comments: