Handsome anayenga'arisha nyota yake kupitia muziki wa kizazi kipya Bongo Ally Kiba ameibuka na kutupilia mbali tetesi zilizo zagaa mkitaa yote ya jiji la Bongo wiki mbili zilizopita kuwa kuwa amefanyiwa 'kitu mbaya' na watu wasiojulikana.
Katika 'interview' ya dakika 20 aliyofanya na Teentz Kiba amefunguka kuwa, kuna jamaa mmoja (jina kapuni) aliyekuwa wanaishi nae nyumbani kwao kama ndugu, lakini baadae waliamua kumtimua baada ya kugundua kuwa ana tabia za udokozi kuwa ndiye aliyeeneza maneno hayo mtaani kuwa yeye (Kiba) amef***a.
"Siyo kweli bwana ni stori tu ambazo binafsi nimezisikia, lakini ukweli kuwa huyo jamaa ndiye anaepakaza mtaani na kibaya zaidi ana waambia watu kuwa kuwa yeye ndiyo alikuwa wa kwanza kuni***a" halafu wakafuata watu wengine" alisema Kiba.
katika hatua nyingine nyota huyo wa wimbo wa 'Dushelele' ameandaa mtego maalum wa kumnasa jamaa huyo anayechafua jina lake ili amuweke hadharani na hatimaye kumfungulia mashtaka.
 
 
No comments:
Post a Comment