Sunday, June 24, 2012

MABABA WA CHEKA NA KASEBA WATAMBIANA

 Baba Mzazi wa bondia Fransic Cheka , Bonifasi Cheka kulia akiwa amemkunja baba mzazi wa Japhert Kaseba, Josepher Kaseba wakati wa kuzungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo kuzungumzia mpambanbo wa watoto wao utakaofanyika siku ya sabasaba katika uwanja mpya wa Taifa.
Baba Mzazi wa bondia Fransic Cheka, Bonifasi Cheka kushoto akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana kuusu mpambano wa mwanae utakaofanyika siku ya sabasaba kulia ni Baba wa bondia Japhert Kaseba, Josepher Kaseba wa pili kushoto ni meneja matukio wa Dar Live na Promota wa Mpambano huo Kaike Silaju

No comments: