MKULIMA mmoja alisababisha msongamano katika mtaa mmoja mjini
Taizhou, China, alipowatembeza bata wake 5,000 kwa kilomita 1.5 kutoka
shambani kwake akiwatafutia chakula.
Mkulima huyo, Hong, aliyekuwa na fimbo moja ndefu na wasaidizi
wachache, aliweza kuimaliza safari hiyo bila kupoteza hata bata mmoja
No comments:
Post a Comment