50 Cent.
G. Unit C.E.O 50 Cent analinganisha
beef ya Drake na Chris Brown iko kiraha sana na pia inawapaisha,
akiongelea mzozo huo wakati akipiga story na LA Leakers, 50 cent hakujua
chochote kuhusu hilo aliona
picha ndipo aliposhangaa sana kusikia washikaji wamerushiana chupa katika club ya usiku huko New York. “Hivi ni kweli ule ugomvi umesababishwa na msichana? (Rihanna), Hapana sidhani basi wanakitu chao katika music wanajuana wenyewe” Alisema Fif. Ni mbaya sana sikudhani kama wanaweza kuhusishwa katika aina hiyo ya ugomvi, Meek Mill, Chriss Brown alafu Drake, sikuwahi kufikiria kati yao kuna mpiganaji, lakini ukiangalia itakuwa ni kimuziki sana sana” Aliendelea kufunguka Fid a.k.a Fif.

No comments:
Post a Comment