LINAH..Jumapili hii kwa mara ya kwanza jijini  Dar es Salaam baada ya kumaliza tour ya America ataangusha show kabambe akipiga kila wimbo na live Band,pamoja na burudani hiyo LINAH atazindua rasmi video mpya ya " AJ UBAO NA LINAH" iliyotengenezwa Marekani,pia ma superstar wengine wa bongo watakao msindikiza usiku huo ni,,MWANA F.A,DITTO, AMINI  na COUNTRY BOY. 
                                                    NEW MAISHA CLUB
                                                  KUANZIA SAA 3 USIKU

No comments:
Post a Comment