Monday, June 25, 2012

MCHEKI WILLOW SMITH AKISHOW ULIMI WAKE

willow smith tongue ring Willow Smith Shows Off Huge Tongue Ring [Photo]

                                                Willow Smith na friend wake.
Willow Smith mwenye umri wa miaka 11, ambaya wazazi wake ni wasanii ambao ni Will Smith na mkewe Jada. Baadhi ya watu wameshitushwa na uamuzi wa familia hiyo kumruhusu mtoto wao wa kike ambaye ni Willo Smith kufanya chochote anachokitaka.

But baba wa mtoto huyo ambaye ni Will Smith alitoa sababu ya kuamua kumuwachia Willo kufanya lolote atakalo, alisema ' nimempa mwanangu full control  ili aweze kuji express her individuality'.
 

will smith and willow smith Willow Smith Shows Off Huge Tongue Ring [Photo]
“When you have a little girl, it’s like how can you teach her that you’re in control of her body?” Will Smith said. “If I teach her that I’m in charge of whether or not she can touch her hair, she’s going to replace me with some other man when she goes out in the world. She has got to have command of her body. So when she goes out into the world, she’s going out with a command that it is hers. She is used to making those decisions herself. We try to keep giving them those decisions until they can hold the full weight of their lives.”





No comments: