Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ney Wamitego(kushoto)akiwa amepozi kwa picha na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania mara baada ya kutumbwiza kwenye Tamasha la”WAJANJA”Linaloendeshwa na Vodacom Tanzania Mjini Morogoro hapo jana,Tamasha hilo litafanyika kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga, likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtyandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
Msanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya Shetta pamoja na madansa wake
wakiwaburudisha wakazi wa Morogoro wakati wa Tamasha
la”WAJANJA”lililofanyika mjini humo,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea katika
mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter
bure.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiwa amebebwa juujuu na madansa wake
wakati akitumbwiza ishirini na tano na kutumia kwenye Tamasha la
”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro hapo jana,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea katika
mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi facebook na twitter bure.
Msanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya Fid Q akiwapagawisha wakazi wa
Morogoro kwenye Tamasha la ”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro hapo
jana,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea katika
mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi facebook na twitter bure.
Umati wa wakazi wji wa Morogoro waliojitokeza katika Tamasha la”WAJANJA”linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika
mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia
facebook na twitter bure.
Mkazi
wa Mjini Morogoro akichagua simu ya kununua mara alipofika katika
tamasha la”WAJANJA”lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini
humo,Tamasha hilo linaendeshwa na Vodacom Tanzania,na litaendelea
kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa
na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa
kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano
kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Ney Wamitego akiwapagawisha wakazi wa mji wa
Morogoro wakati wa Tamasha la”WAJANJA”Linaloendeshwa na Vodacom Tanzania
hapo jana,Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na
Tanga, likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa
kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi
ishirini na tano kwenda mtyandao wowote na kutumia facebook na twitter
bure.
Msanii
mkali aliopo kwenye chati hivi sasa Ommy Dimpoz akiwapagawisha wakazi
wa mji wa Morogoro wakati wa Tamasha la”WAJANJA”Linaloendeshwa na
Vodacom Tanzania hapo jana,Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika
mikoa ya Mtwara na Tanga, likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtyandao wowote na kutumia
facebook na twitter bure.
Wasanii
wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz watano toka kushoto na Diamond
wapili toka kulia wakiwa wamepozi kwa picha na baadhi ya wafanyakazi wa
Vodacom Tanzania,kabla ya kupanda jukwani na kutumbwiza kwenye Tamasha
la”WAJANJA”Lililoendeshwa na Vodacom Tanzania Mjini Morogoro hapo
jana,Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,
likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni
hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi
ishirini na tano kwenda mtyandao wowote na kutumia facebook na twitter
bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Shetta akisakama jukwaa kama vilivyo mjini Morogoro wakati wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika mjini humo,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea katika
mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter
bure.
Diamond akikata mauno kama vilivyo wakati wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro hapo jana,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea katika
mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter
bure.

No comments:
Post a Comment