Hapa Wema alikuwa akimwambia kwa kithungu kile ambacho MC alichokuwa akikizungumza.
Ben Kinyaiya, Omotola & Wema Sepetu, hapa alikuwa Omotola akizungumza na watanzania waliofika katika Hotel ya Giraffe.
Babuu wa kitaa aka Babu Bomba akiwakaribisha mabibi Bomba kwa steji wapite kama Mamiss.
Mtoto huyu alikuja mbele na kuchukua picha za kumbukumbu katika iPad yake
Baada ya hapo huyoooo akajikata zake, hana habari na mtu hahaa.
Dj Choka akiwa na Wema Sepetu pamoja na Omotola.
No comments:
Post a Comment