Wachezaji
 wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwasili katika uwanja wa 
ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam jana usiku
 wakitokea nchini Msumbuji waliposhiriki katika Mchezo wa  mtoano wa 
kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika CAF. Taifa Stars ilitolewa 
katika michuano hiyo kw kufungwa kwa mikwaju ya penati na Msumbiji 8-7. 
 
 
 Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Kim Polsen akizungumza na Sunday Kayuni mara baada ya kuiwasili uwanjani hapo





 
 
No comments:
Post a Comment