Tuesday, November 6, 2012

HII NDIO GARI MPYA YA MSANII JAGUAR.


  Kama Hufahamu basi chukua Hii , Katika wasanii wanao penda magari mazuri na kuweza kuyanunua kwa bei yoyote basi Jaguar anashika Numba 1 nchini Kenya kwa kuwa na magari mazuri na ya bei Ghali. Hii ndio Range Rover yake mpya Rangi ya Silver na ukitazama vizuri utaona haina number bado.Ndio kwanza imetoka show Room.

Jaguar Aliandika hivi kuhusu hii Picha .`My hood,my boys....my rover"

No comments: