50 Cent Na Floyd Mayweather
Tazama
na soma majibizano ya vijana hawa walio wahi kuwa marafiki sana kipindi
cha nyuma kidogo.Urafiki wao ulibadilika baada ya 50 Cent kuanza
kusimamia mapambano ya ngumi Marekani na Floyd kurudisha urafiki na
Rickross.
No comments:
Post a Comment