Kwa dakika 5 ukitazama hiyo video hapo chini ndio utayaona maajabu aliyoyafanya.
Kusema ukweli inawezekana kuna mengine yamenipita kwa sababu huwa sitazami michuano ya Olympic kila wakati lakini hili kwangu ndio limekua la kwanza kunishangaza, ni kuhusu huyu binti Mmarekani Gabby Douglas mwenye umri wa miaka 17 kuvunja rekodi kwenye michezo yake na kushinda medali ya dhahabu hivyo kuwa mtu mweusi wa kwanza kushinda hiyo medali kwenye Gymnastics.
No comments:
Post a Comment