Thursday, August 9, 2012

LYRICS: DOGO JANJA FT PNC - YA MOYONI.

Dogo Janja ft Pnc - Ya Moyoni.
 
Chorus (PNC)
Wala mi sini hila ila nafsi yangu inanituma kusema ya moyoni,wala sina kisasi,Namshukuru Mungu huko nlikotoka,na sasa nlipofika kitanashati haswaa eeeeeh,natiririsha ngoma eeeeeh,shukran pia ziende kwa Ostaz juma na Musoma . 

Vers 1 (Dogo Janya)
Kes zangu mi naziacha Mungu atawasomea,
Jasho langu kwny shamba lao walifanya mbolea,
Hawakujal nakotokea,shida nilizojibebea
Wakanifunga akil miguu huku  inatembea
Mama akasema mwanangu kaza Msuli
Ukitaka kizikwa na watu vua kot la ukiburi
Dawa ya jeur kiburi, mimi sio mzur
Pesa ndo kivul na ndo mapenz kama hujui
Kudai hak yng kumejenga uadui
Nawapenda  maadui zangu na ndugu siwabagui
Atazika nan sijui  ntakua nae kesho asubui
Nan mwny upendo kwel atanikishuka haupungui
Bado nasukuma kete weka namm niweke
Chomeka nichomeke ngumi na teke
Kwenye maseke ya makeke
Mfukon mambo bado kama chege wa temeke...! Raaaah.   

Vers 2 (Dogo Janya)
 Naamua kukaa kimya ila naa domo la kaya
Hata we nlokuamin leo unanisema vibaya
Usinitoneshe kidonda binadam kinyonga
Ukitaka kuish wanavyotaka hee utakonda
Wapo walio furai kasema naenda kuteseka
Kumbe kwangu bora aman hata nikilala kwny mkeka
Siwez kukataa nimetoka kwny njaa
Kama hakuna manufaa sewez kung'agania dar
Jasho nlilomwaga halijachonga hata kitanda
Watu wanaendesha magari na kumilik vibanda
Inshaalah Mungu ndo anapanga
Machungu naya rewind kwny mind km Kanda
Nashukuru Asubui kumekucha kwny Mwanga
Mungu ananilinda ananikinga na Majanga
Niongozee safari Isiishie njian
Waje kusema Maisha yangu bila yao haiwezekan.  Mziki uko kwny lam nausukuma kama pila.
Kama nafunga kushoto kumbe kulia-killa
Ndege nje ya tundu mlinzi 3-0 chalii kilaa
Janjaro bado yupo kama destur na milla ....

Pnc Bridge

 niko makin kwenye game sitong'ooka japo kuna wanga wanga wanataka kuzima nyota,kuna wanaodiriki hata fara mi kuniita,idi mradi nipinde wao wabaki kipeta ila nimestuka,siri ndo imefichuka,mwanzo waliponda fani,nasasa wapo jukwani,walosemasema ni uhuni,wote imewaingia damuni,wengine bila haaayaa ayaia

No comments: