Thursday, August 9, 2012

DALADALA LATEKETEA KWA MOTO BUGURUNI JIJINI DAR LEO.

Gari la Abiria aina ya Isuzu Journey ikiteketea kwa moto mchana wa leo maenei ya Buguruni Rozana jijini Dar es salaam.Chanzo cha moto huo hakikujulikana mara moja na hakuna aliejeruhiwa wala kupoteza maisha katika ajali hii ya moto.

No comments: