Linex.
Siku
chache baada ya msanii Linex kutoa video ya wimbo wake (AIFOLA),
ameandika katika ukurasa wake wa facebook, akiomba radhi kwa wanawake
wote kutokana na kipande cha video yake ikimuanyesha akimpiga kofi
mschana aliekuwa anaigiza nae katika video hiyo kutokana na kupata
malalamiko mengi yanayodai kuichochoa jamii katika vitendo hivyo hasa
kwa wanaume
"Naomba
radhi kwa kila mwanamke Dunian kofi nililompiga vdeo gal wa kwenye
aifola vdeo sikua nakusudia uchochezi wa mwanamke kupigwa na mwanaume
wake natumai wanaume wenzangu mmenielewa lengo ilikua kutafuta uhalisia
wa matukio kwenye vdeo yangu #team mwanamke hapigwi analiwazwa na
kubembelezwa..." amesema linex
No comments:
Post a Comment