Tuesday, July 31, 2012

VODACOM WATOA TUZO KWA MITANDAO BORA YA KIJAMII.

Kampuni ya sim za mkononi, Vodacom, jana ilitoa tuzo za blog bora kwa mitandao 10 ya kijaamii, kwa kutambua , kuongeza na kuendeleza jitihada na maudhui katika mitandao ya kijamii na tovuti, na kuthamini mchango wa waandishi katika utoaji wa taarifa kwa jamii.

Washindi 10 katika kipengele cha mitandao ya jamii na tovuti ni wafuatao:



Picha ya pamoja, wamiliki wa blog hizo na viongozi wa utoji tuzo hizo.
 
1: Elsie Eyakuze wa Mikocheni Report
2: Muhidini Michuzi wa Issa Michuzi Blog.
3: John Kitime wa Wanamuziki Tanzania Blog
4: Masoud Kipanya wa Kipanya .co.tz
5: Umoja wa Vijana FM
6: Millard Ayo wa Millardayo.co
7: Miriam Rose Kinunda wa Taste of Tanzania
8: Mike Mushi wa Jamii Forums
9: Rachel Hamada wa Mambo Magazine
10: Fatma Hassan wa DJ Fetty Blog.
Washindi hao wanawawakilisha wengine wengi wanaoonyesha vipaji vyao ambapo pia mchango wao unahitajika kuthaminiwa. 
 

No comments: