Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika mazishi ya kada wa CCM
mzee Azzan Ally Mangushi yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini
Dar es Salaam leo mchana. Mzee Mangushi aliwahi pia kuwa mjumbe wa
Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Kinondoni
No comments:
Post a Comment