Sunday, July 29, 2012

PICHA 14 ZA YANGA WALIVYO UTWAA UBINGWA WA KAGAME 2012.

 
 
 
Nahodha wa Yanga, ambaye hakucheza mashindano haya alikuwepo kwenye sherehe za ubingwa.
 
 
 Beki mpya wa Yanga, Kevin Yondan kwa raha zake.
 
 
  Wachezaji wa Azam baada ya mechi
 
 
Seif Magari wa kwanza kushoto nyuma akiwa na wachezaji wa Yanga na Azam.
 
 
Mrisho Ngassa kulia na Haruna Niyonzima kushoto.
 
 
Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji akisalimiana na Ngassa baada ya mechi.
 
    
Juma Seif 'Kijiko' akiwa na Said Mourad 'Mweda' kushoto baada ya mechi.
 
 
Mrisho Ngassa akiwa amenyoa mnyoo wa jina la klabu yake.
 
 
Wachezaji wa Yanga, mbele na kipa aliyefanya kazi kubwa katika mechi mbili, Nusu Fainali na Fainali, Ally Mustafa 'Barthez.
 
Wachezaji wa Yanga na mwali wao.
 
 
 
 
Niyonzima akiwa na mkewe na mwanawe na Kombe.
 
 
Mfungaji bora wa Kagame 2012, Said Bahanuzi baada ya mechik akiwa na jezi ya Azam aliyovuliwa na Gaudence Mwaikimba. 
 
 
 
  
 
 

No comments: