Saturday, July 28, 2012

MEYA WA JIJI LA MWANZA (CHADEMA) ASIMAMISHWA KWA UFISADI.

Aliyekuwa Meya wa Jiji la Mwanza, Josephat Manyerere (CHADEMA).

Meya wa Jiji la Mwanza Josephat Manyerere wa CHADEMA amefukuzwa ktk nafasi yake leo na madiwani akituhumiwa kukiuka kanuni za uongozi kwa kushindwa kuiendesha vema Halmashauri yake.
Zimepigwa kura 20 za kumkataa na kura 8 tu ndizo zilizomtetea.
Siku kama 4 zilizopita alitakiwa na madiwani wa chama chake (CHADEMA) ajiuzulu kulinda heshima ya chama lakini akakataa.
Gazeti la Mtanzania la Julai 23 lilitoa taarifa ya Meya huyu kupewa siku 4 aachie ngazi
Habari kwa kirefu itafuatia

No comments: