Saturday, July 28, 2012

MANENO KUTOKA KWA DR. JOSE CHAMELEONE BAADA YA SHIGONGO KUMTUMIA SHUTUMA ZA UTAPELI.

Kutoka kushoto Mr Nice, Jose Chameleone, Profesa J na TID.
NIMESIKA MANENO KUTOKA KWA ERIC SHIGONGO WA GLOBAL PUBLISHERS TANZANIA!
ALIVO NIITA MTAPELI AKIWA NA DJ JD.

WAKAENDELEA KUWATAMBULIA ETI UGANDA ISIWADHARAU TANZANIA TENA!
KWA UKWELI VYOTE ALIVYO SEMA NI UOMBI TANZANIA IMSAIDIE BAADA YA KUJI HARIBU VIBAYA MWEYEWE.

HUYU MWEZENU SHIGONGO ATA BAADA YA KUNIZUIA PASSPORT YANGU,NILIVO RUDI KAMPALA,NILIMSAIDIA

KUMTAFUTA YULE MTAPELI ALIEMPTAPELI.NIKA M...
PIGIA SIMU HAJE AMFUATE! MPAKA LEO HAJA JA
KAMA NILIWATAPELI GLOBAL PUBLISHERS MBONA WAKASUBIRI INTERPOL ILIWALAZIMISHE WAIRUDISHIENI PASSPORT YANGU UGANDA

HUYU MWENZETU SHIGONGO AU SHIWONGO HANA UTARATIBU, NILIPORUDI KAMPALA BAADHA YA KU ZUIA PASSPORT YANGU,
NIKA MSAIDIA KUMTAFUTA MTAPELI ALIE CHUKUA HELA YAKE, BAHATI KUBWA NIKAMPATA, NA NIKAMPELEKA POLIISI ATA MPAKA
SAA HIVI YUPO.
NILIMUOMBA SHIGONGO WA GLOBAL PUBLISHERS, AJE WAMALIZANE AKASEMA ETI HANA WAKATI, ANACHOSUBIRI NI HELA YAKE NI PATE PAASPORT YANGU....HIO NI VIZURI KWELI|?
WATANZANIA WENZANGU, MIMI SI WADHARAU,
SHIWONGO AMESHINDWA NA UWONGO WAKE SASA ANA WADANGANYA MSAIDIE!
NAWA MIND WENZANGU BONGO, NA MUSIDANGANYIKIWE KABISA!
ENETRPRENUERS KNOW WHERE TO PUT THERE MONEY, THEY DONT PUT IT IN HANDS OF CONMEN AND TRY TO RECOVER IT FROM INNOCENT CITZENS.

NA HIVI TUNATEGEMEA EAST AFRICA UNION

WE ARE EAST AFRICANS WITH NO BORDERS.

DR JOSE CHAMELEONE
 

No comments: