Waandishi wa mkoa wa Mbeya wakiwa makini kufuatilia
mafunzo ya kompyuta jijini Mbeya.
Waandishi wa Habari Gordon Kalulunga(TANZANIA DAIMA),
Johnson Jabir(MBEYA FM) na Lina Mwambungu (BARAKA FM).
Mwandishi mkuu wa Mbeya yetu Joseph Mwaisango naye
alikuwepo katika semina hiyo.
Mafunzo ya Intaneti kwa waandishi Habari leo yameingia siku
yake ya pili katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) tawi la Mbeya
chini ya Mwalimu Mdegela kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment