Oprah Winfrey ni mmoja kati ya watu maarufu duniani ambao wanaongoza
katika kutoa mchango wao kwenye jamii pale unapohitajika .Oprah ana toa
misaada kutoka kwenye mfuko wake mwenyewe bila kuchangisha watu na
kupeleka alicho pata .Huwa anachagua taasisi gani inahitaji mchango wake
na kiasi gani . Ametoa ma million ya dollar za kimarekani kupitia
Angel Network , The Oprah Winfrey Foundation na The Oprah Winfrey
Operating Foundation. South Africa Oprah ana project ya The Oprah
Winfrey Leadership Academy For Girls In South Africa.
Week hii mmoja ya watu
wanao mfata Oprah kwenye mtandao wa twitter alimuliza Oprah lini ata
saidia watu weusi wanao ishi maisha duni Marekani. Jibu la Oprah
lilikuwa hivi . { Nime somesha vijana 500 college , wewe umafanya nini
kwenye maisha yao?

Haikuishia hapo ,huyo jamaa @awalkdatalk hakumaliza hapo aliendelea kumuliza Oprah
Bado nasubiri majibu
Oprah ,Usitoe tamko hii sio kampeni au tangazo la biashara hili ni
swali kwa Oprah ghetto za Marekani zina subiri jibu

Hii Ndio Picha Ya Oprah Akiwa Na Jayz Mtaani
No comments:
Post a Comment