Ditto.
Ditto
msanii kutoka THT, usiku huu majira ya saa moja usiku ameondokewa na
baba yake mzazi anayeitwa Lambert Tido. Ditto anasema baba yake alikuwa
akisumbuliwa na Figo kwa mda mrefu hadi mauti yalipomkuta usiku huu.
Asubuhi ya leo hali yake ilibadilika Ghafla . Mipango ya mazishi
inafanyika na kuna uwezekano wakasafirisha Mwili wa marehemu kesho
kwenda Morogoro kwa mazishi.
Pole sana Ditto na Familia Yako
No comments:
Post a Comment